Thursday, August 27, 2020

Tangazo la Kuitwa Kwenye Ushauri Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

Kumb. Na.BMC/S.35/41/VOL.I/81

26/08/2020

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 7 hadi 8 Septemba 2020

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezoyafuatayo:-
i.Usaili utafanyika kuanziatarehe7 hadi 8 Septemba, 2020 kama ilivyoonyeshwa kwenye tangazo hili; muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila kada.
ii.Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi.
iii.Vitambulishovinavyokubalika ni pamojana: Kitambulisho cha mkazi, Kitambulisho cha MpigaKura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia(Taifa)au HatiyaKusafiria.
iv.Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI kuanzia Cheti cha Kuzaliwa, Kidato cha IV, VI na Astashahada.
v.Wasailiwawatakaowasilisha “Testmonials”,“Provisional Results”, “Statement of Results”, Result Slips”HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
vi.Kila Msailiwa atajigharamia Chakula,Usafiri naMalazi.
vii.Kila Msailiwa azingatie tarehe,muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
viii.Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti Vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika(kama TCU,NACTE au NECTA).
ix.Waomabaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo wasisiste kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mashartiya tangazo husika.

KUSOMA MAJINA HAYO PAKUA PDF HAPO CHINI

The post Tangazo la Kuitwa Kwenye Ushauri Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba appeared first on Business Solutions.

The post Tangazo la Kuitwa Kwenye Ushauri Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba appeared first on Ajira - Nafasi za kazi Tanzania 2019.



source http://ajira-nafasizakazitz.com/22005/